Nani Alikupokea JamiiForums siku Ya kwanza

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,431
Ulipojiunga JF ukaingia jukwaa la utambulisho ulipokelewa na watu wangapi na akina nani,nani alikuvunja moyo na nani alikutia shime
Mimi nilipokolewa na watu Kumi,hawa wafuatao
1.Mshume Kiyate
2.Ulimakafu
3.Katavi
4.Arabiafalcon
5.Erickb52
6.Amavubi
7.Young master
8.Umark
9.TASLIMU
10.TUKUTUKU
Nilipokelewa vizuri na nilitiwa shime,TASLIMU alinichagiza kufanya mambo,kugusa kila Jukwaa na Bado nipo-Hekima na busara ndo nguzo yangu
Wakatabahu
"Vox popoli vox dei"
 
Kuna wengine hata dawati la ukaguzi hatukupita
 
Mbona upo hapo jamani.

ilikuona unasema shigongo na mange imefungwa topic,Shigongo ni tapeli mkubwa sana alimcall mr na allegations za ovyo eti anapicha zake za utupu waonane kabla hajazitoa,mr akasema mie npo china nkirudi nitakutafuta.Akarudi akataka kumtafuta nikamuambia mpigie simu likaanza ooo muheshimiwa kuna picha zako umepiga utupu dodoma hotel zimetufikia sasa tumeona tukuambie kabla hajizatoka, mr akamuambia mie unanijua mtu mkubwa sana siwezi kupiga picha za utupu wala mtu hawezi kunipiga picha hizo,sasa sina muda wa kuonana na nyie nachoweza kusema ole wako nchafuke na magazeti yako mie pia ni mwanasheria mkubwa sana tutapambana.Since that day he didnt call up again
 
Zahra White mbona unanianika jamani?
 
Last edited by a moderator:

Peleka jukwaa la Udaku
 
Yule Erick mie nimeshamtoa maana siku nyingi.
 
Mie sikumbuki lakini nakupongeza sana Watu 8 maake naona unabidii na hii kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom