Utajijuuuuuuu...!!!

Utajijuuuuuuu...!!!

Wewe ujifanyae kidume cha mbegu Binukabinuka, ubinukavyo!
Rukaruka, urukavyo!
Jirushejirushe,
ujirushavyo!
Jipaishe,
ujiparishavyo!
Kumbuka Mambupu hayatodondoka!
 
Watoto hawa bwana,kula wanakula,kulala wanalala,kuvaa wanavaa lakini dooooo malai.y,,iia

mwenzio nilimaanisha juliana shonza,anaye nifanya niweweseke usiku kucha kwa ajili yake.
 
Haki ya nani wewe!
Wewe ujifanyae kidume cha mbegu Binukabinuka, ubinukavyo!
Rukaruka, urukavyo!
Jirushejirushe,
ujirushavyo!
Jipaishe,
ujiparishavyo!
Kumbuka Mambupu hayatodondoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom