Kichupi cha kamba(g-string)ni zaidi ya unavyokifahamu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Wengi hasa masistaduu huvaa kama fashion au usasa lakini je unajua maana yake zaidi...?
Kwanza kwa tabia yake ya kufunika mbele na kuacha kikamba tu ndio kifunike ma..ko huashiria kuwa mini kabang inapatikana

Pili haitofautiani na mtu avaaye kikuku au kishanga mguu wa kulia au mwanaume kuvaa hereni sikio la kulia

Kwanini kulia???
Kiasili kulia ni nyuma na kushoto ni mbele na ndio maana hata kwenye gwaride au kwenye kupanda gari au kushuka unatangulia mguu wa kushoto, mambo mengi yasiyo ya kawaida sana hushughulika na mkono wa kushoto kwenye kutangulia

Hivyo basi kwa kuvaa g-string au kikuku mguu wa kulia au hereni sikio la kulia humaanisha kitu kimoja tu kuwa wewe ni mshirika wa kabaang..!

Usivae kitu kwa kuiga bali vaa pia ukijua maana.. la sivyo...!!!!!
 
Daaah! Watakuja hapa kutetea hiyo kamba,watasema joto Dar!!
 
Sio joto mkuu ila mi sijaona shida yake maana hata ukivaa hiyo gstring nani atakae iona?to me so long mtu ako comfortable nayo acha avae ni kama underwear za kawaida tu
 
mbona ni rahisi mno kujua kama umevaa hii chupi ya uzi.
Nalog off
 
Mh nina haraka ila naamin wapo wenye MUDa watapita hapa nakuacha alau nyayo zao za miguu, wasaniii daima hawatoishiwa na tungo lol! Narud jaman majukumu yamenizonga.
 
ndio ukubwa huo.
Nalog off
 
Wengi hasa masistaduu huvaa kama fashion au usasa lakini je unajua maana yake zaidi...?
Kwanza kwa tabia yake ya kufunika mbele na kuacha kikamba tu ndio kifunike ma..ko huashiria kuwa mini kabang inapatikana

Pili haitofautiani na mtu avaaye kikuku au kishanga mguu wa kulia au mwanaume kuvaa hereni sikio la kulia

Kwanini kulia???
Kiasili kulia ni nyuma na kushoto ni mbele na ndio maana hata kwenye gwaride au kwenye kupanda gari au kushuka unatangulia mguu wa kushoto, mambo mengi yasiyo ya kawaida sana hushughulika na mkono wa kushoto kwenye kutangulia

Hivyo basi kwa kuvaa g-string au kikuku mgumu wa kulia au hereni hereni sikio la kulia humaanisha kitu kimoja tu kuwa wewe ni mshirika wa kabaang..!

Usivae kitu kwa kuiga bali vaa pia ukijua maana.. la sivyo...!!!!!

Umeshasema mambo yasio ya kawaida Ushughulika na mkono wa koshoto!sasa kabang sio jambo la kawaida kwanini hipo Kulia????????????????
 
Hiyo mini kabang inaonesha inapendwa sana siku hizi. Kuna dada jana alikuwa anabishana na wapangaji wake akiwataka wasepe kwenye nyumba yake, sasa wale wapangaji wa kike wakawa wanasema hawawezi kuondoka kabla ya mkataba. Lol, yule dada mwenye nyumba akasema kwa taarifa yenu nitampa tiGO mume wangu atawatimua tu, kwa sababu yule baba nanii nikimpa hiyo Kabang huwa hapumui kwangu. Sasa hapa nikajifunza kumbe unaweza kusalitiwa au kufanyiwa fitina kwa ajili ya hiyo huduma pendwa.
 
Kharamu yote tam sana hebu angalia kiti moto inavopendwa ndo maana mimi...akha..! Labda nishikiwe kisu ndo naweza kula
 
Na chakushangaza zaidi hio kabang imefichwa na inatoa uchaf ila watu wanavoioenda na kuithamin ballaaaa, yaani sipat picha Ingekua kichwan, kwel Mungu kaumba vitu kwa ujuzi wake ila binaadam ni noumwaaaaa
 
Back
Top Bottom