Wale Wa Daresalaam Institute mpo?.

Wale Wa Daresalaam Institute mpo?.

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
This place iko pale posta ni sehemu ambayo huwezi imagine kama kuna any activity going on pale..ni sehem ya games mbali mbali pamoja na mazoezi ya viungo.sasa nilitaka nijoin ile club maana nilijuzwa na uongozi wa pale kua ni kama club..yani ni mkusanyiko wa watu wanaofanya activity moja in short it is a sport club..sasa kikwazo cha mimi kushndwa kujiunga na this sport club ni kua wanahitaji niwe na mtu anaenifahamu pale i mean someone ambaye tayar yuko dar institute..sasa namuulizie umu wanachitchat kama yupo aniPM tulonge vizur koz nahitaji sana kujiunga na Daresalaam Institute for sports and games.
 
Back
Top Bottom