Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Ndugu zanguni mashabiki wa simba kwa furaha niliyonayo sina budi kuchinja mbuzi ili nijipe raha! Karibun saana! Yanga a.k.a kandambili njoon msiogope na mjiandae mzunguko wa pili timu yetu itakuwa imekamilika kila idara!
Account full karibu saana usiogope, smile, rock city, mam mden na wengne weng! Nashindwa hata kuandika vizuri kwan furaha imeja tele ndan ya moyo wangu!
Account full karibu saana usiogope, smile, rock city, mam mden na wengne weng! Nashindwa hata kuandika vizuri kwan furaha imeja tele ndan ya moyo wangu!