JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani? Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Hi jaman, nawatakia mwaka mpya mwema na cku nzuri nawapendeni sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa heshima kubwa, napenda kuwaalika wana JF, kuja kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya pamoja na mimi. Jinsi ya kufika kwangu rahisi sana, panda gari la Mbagala,shuka rangi 3,halafu panda magari ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Na hao ni ndugu zetu wanaisha Ethiopia.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MATOKEO YA KRSMASI . YAMETOKA LEO :NDOA ZILIZOVUNJIKA= 24% FUMANIZI=48% WATU WALIOZINI=97% VITANDA VILIVYO VUNJIKA=18% MAAMBUKIZI YA HIV=96% WALIOPATA WAPENZI WAPYA=79% MAHUDHURIO YA GUEST=98%...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sina uhakika kama imewahi kuwekwa hapa au jukwaa la lugha.......naomba ibadili sentensi ifuatayo iwe kwa kiingereza: BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI??
0 Reactions
137 Replies
21K Views
Wana wa bodi mko poa? Jumapili imekaaje? Okey ! Ninaamini mie Judgement nitakua tofauti kidogo na wengi wenu hapa Jf . Wengi wenu mmejifunzia kingereza cha kuongea mashuleni (debate)...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu WANA cc wote. ......Ni matumaini yangu wote tupo tayari kuupokea mwaka huu mpya ambao ni kweli tumepita katika mengi yasiyo elezeka.Hatuachi KUmshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema ZAKE...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema.. "Musiba Oyee!!" Jenesa safiii! Amependesa hajapendesa!!? Basi mwenye wifu ajinyonge kwansa kabisa napenda sukuru...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimeenda ktk mkoa fulani na kukutana na kali ya mwaka baada ya kumsalimia mtu aliyenizidi umri "shikamoo" naye kanijibu shikamoo na mimi kuduwaa kwa kushindwa nijibu nini...! Je, kuna mikoa au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naamini nitarudi tena 2014.shikamoo nyingi kwa watu wangu wa nguvu,miss chagga,una moyo wa chuma mama napenda kukuona ukiwa hivyo,"valentina" ma smolo house,mzizi mkavu ongeza stori mkuu,farkhina...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Madenge alimuuliza mwalimu, Hivi ukichanganya Omo na Foma znatoa povu?? Mwl akamjibu kwa hasira swali gani la kipuuz hilo!!!,zinatoa ndio kwani zote ni sabuni Madenge akamjibu ww ndio mpuuz na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Woman felt that her love life was slipping because her husband had no more interest in sex. While shopping one day, she passed an adult shop and saw some crotchless panties, so she decided to buy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbowe na Pinda walijikuta wamekaa pamoja kanisani mara mchungaji akasema mgeukie mwenzio mwambie wewe ni mzuri,mbowe alipomgeukia pinda akaanza kucheka kisha akamwambia mchungaji mwambie mwenyewe...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alikwenda baa na mtoto wake mdogo mwenye umri wa miaka 4. Rafiki yake akaja na mazungumzo yakawa hivi: RAFIKI: Habari za za leo rafiki yangu, siku hizi huonekani! JAMAA: Ah, nipo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Massanja mkandamizaji:- "ubossy lady" mwachieni Oprah utawatokea puani dada zangu! Ukiona wanawake siku hizi wenye sentisenti hawana kazi yakueleweka wana magari yakifahari, nyumba za kutishia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Namshukuru sana Mungu kwa yote aliyonikubalia mwaka huu wa 2013; kubwa zaidi nimemaliza masters salama sio tu nimeongeza cheti bali fikra; kipato na cheo vimeongezeka; wadau wa jamii forum...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu wa CC! Ni muda kidogo nimepotea humu CC kutokana na majukumu ya kisiasa. Lakini nimerudi kuja kuwapa hizi salaam! Siasa zinaendelea vyema kabisa na hivi ninavyozungumza nanyi tayari...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
MSICHANA: baby leo bata wapi mpenzi wangu? MWANAUME: bandani kwake!!!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mlevi mmoja kakutwa na mwalimu anakojoa maeneo ya shule. Mazungumzo yao yakawa hivi. Mwalimu; kwanin unakojoa hapo, Soma hilo bango linasemaje? Mlevi; linasema usikojoe hapa...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…