Hebu mukuje hapa muniwekee sawa hii maneno !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Wana wa bodi mko poa?
Jumapili imekaaje?
Okey !
Ninaamini mie Judgement nitakua tofauti kidogo na wengi wenu hapa Jf .

Wengi wenu mmejifunzia kingereza cha kuongea mashuleni (debate) vyuoni n.k n.k .

Mimi hiki kichache cha kuombea maji nilikipata kwa njia tofauti .
Miaka kadhaa nyuma nikiishi Kibamba c.c.m (D'salaam) nilibahatika kupata rafiki wa kitasha (Mzungu wa Uskochi- mskotish)

Mtasha huyu Gareth Palmer tulishibana sana , na akafanya efforts tukaondoka nae hadi Scotland , dhamira ya mie kwenda huko ilikua ni kutafuta maisha .

Kule Uskochi tulikua sijui niite jimbo , mkoa whatever !
Tuliishi Tayside - Dundee .
Efforts za Gareth zilinipatia job moja ya mgahawa pale Dundee na mara nyingine nilipelekwa Perth kuserve kwenye mgahawa dada wa kampuni iliyokua imeniajiri .

Hapo ndipo nilipolazimika kuongea lugha ya kizungu pasipo shuruti !
Kwa kupenda ama kwa kutopenda ilibidi niongee tu !

Nilihudumu huko takriban miaka 6 hivi na ushee , na nikarejea kwetu Uswazi .
Btw pamoja na hayo yako maneno mengi ya Kingereza yananipa hardwork kuyatohoa kwenye Kiswahili .
Mathalan ,
neno kama "AIR FORCE ONE"
Limenishinda kabisa niliiteje kwa Kiswahili .
Air force one ni moja ya most recognizable symbols of the presidency (Particulary United States Presidents)

No matter where in the world the president travels , if he flies in an air force jet , the plane is called AIR FORCE ONE !

Wadau wangu wapendwa , na wale wasio wapendwa wangu hebu niwekeeni sawa hii Air force one niiteje kwa Kiswahili na ilete maana ileile kwamba ni ndege ya Rais ?
 
Last edited by a moderator:

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,839
2,000
Nilichojifunza kwenye hii stori ni kuwa uliwahi kuishi Scotland kwa hisani ya Gareth Palmer.......
 

Ladymasa

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
877
0
Kumbe ulishafnya kazi ya mgahawa pale Dundee ndicho nlichojifunza
hata mimi silifahamu hilo neno kwa kiswahili
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Nilichojifunza kwenye hii stori ni kuwa uliwahi kuishi Scotland kwa hisani ya Gareth Palmer.......

Nami nilichojifunza kwako ni kunijadili mimi badala ya mada!
Nikidhani unacheza mpira , kumbe wacheza na mtu!
Btw Scot si mbinguni !
Na wapo wa kule wanatamani waje kuishi huku! Wapo wanaoishi Africa maisha mazuri kuliko walioko Uropa .
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,839
2,000
Nami nilichojifunza kwako ni kunijadili mimi badala ya mada!
Nikidhani unacheza mpira , kumbe wacheza na mtu!
Btw Scot si mbinguni !
Na wapo wa kule wanatamani waje kuishi huku! Wapo wanaoishi Africa maisha mazuri kuliko walioko Uropa .

nilichojifunza kwenye hii post ni kwamba unajishtukia...
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
nilichojifunza kwenye hii post ni kwamba unajishtukia...

Huyo wa kumshtukia humu Jf ndiyo simuoni ! Kusema alinifanyia manuva kujoin Jf!
Siwezi chonga kinyago changu (Thrade) mwenyewe kisha kinyago kinitishe! Nitakua na tatizo la Afya ya akili .
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,839
2,000
Huyo wa kumshtukia humu Jf ndiyo simuoni ! Kusema alinifanyia manuva kujoin Jf!
Siwezi chonga kinyago changu (Thrade) mwenyewe kisha kinyago kinitishe! Nitakua na tatizo la Afya ya akili .

Nilichojifunza hapa ni kuwa unajua kutumia Tamathali za semi.
 

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Air=hewa
force=lazima/vuta...
one=moja
hahahaaaaaa,hivyo inaitwa "vuta hewa moja",lol! Kaazi kwelkweli
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Air=hewa
force=lazima/vuta...
one=moja
hahahaaaaaa,hivyo inaitwa "vuta hewa moja",lol! Kaazi kwelkweli

Au
Air - Hewa
Force - Nguvu
One - Moja
Hence Hewa Nguvu Moja !
Inaleta maana ya ndege ya Rais ?
 

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,959
2,000
Mimi nimeshindwa kutohoa neno lenyewe kamanda wangu. Labda nipate muda niwasiane na jamaa zangu wa BAKITA likizo zikiisha.
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
bysange
Arushaone
Niwaombe msivishughulishe sana vichwa kufikiri !
Nachelea mtakomaza vichwa vyenu unnecessarly !
Asili ya kukomaa kichwa cha Jacob Zuma kikawa na currently image , aliulizwa swali hilihili !
Result yake kichwa kilimkomaa kama anakunywa juice ya saruji !
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom