KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Massanja mkandamizaji:- "ubossy lady" mwachieni Oprah utawatokea puani dada zangu! Ukiona wanawake siku hizi wenye sentisenti hawana kazi yakueleweka wana magari yakifahari, nyumba za kutishia amani, chai anakunywa kempisky, lunch fish market, shopping Dubai au Europe, wana jeuri hawaolewi wala hawana maboyfriend wakudumu kisa hawataki kutawaliwa na wanaume eti nao wanajiita kabisa "bosslady" matumbo makubwa km pakacha sababu yakubeba shehena za sembe! Ukimpa offer anakula vijiko viwili anajidai kashiba wakati anabeba sembe kilo 10 bila shida! Wanajifanya hawataki kuzaa wakati matumbo yameshalegea na shehena za sembe! Wanapenda sifa zisizokuwa na maana mwanamke anadindiana na mwanaume bila woga, eti siku hizi nao wanatembea short gun kwny pochi wanawake na maendeleo tubebe sembeee!!! Dada zangu mtakufa kisa sembe.