Mbunge viti maalum Jamii Forum anatakiwa haraka

Mbunge viti maalum Jamii Forum anatakiwa haraka

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Last edited by a moderator:
Napendekeza kigezo kiwe anayeshinda online muda mwingi, na mtoa michango ya kigreat thinker tuachane na wanaoshinda MMU
 
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani?

Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais


gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX
Madame B Menthor madame A Kongosho
mimi49 Heaven on Earth Smile Nazjaz charminglady
Passion Lady Lady doctor mdida DEMBA sister
Jawilat Ablessed
watu8 The Boss Mshinga
Himidini Mashaxizo nanjilinji
Eiyer Broken soul pinno tpaul etc
AshaDii anafaa!!!!!!

Halafu wabunge wa viti maaluma si wakike tuu au??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani?

Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais


gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX
Madame B Menthor madame A Kongosho
mimi49 Heaven on Earth Smile Nazjaz charminglady
Passion Lady Lady doctor mdida DEMBA sister
Jawilat Ablessed
watu8 The Boss Mshinga
Himidini Mashaxizo nanjilinji
Eiyer Broken soul pinno tpaul etc
Jamani ndugu zangu, huyu amechelea kwenda kusali kanisani yeye busy na JF. Kweli JF ni kama ugonjwa. Masista wenzako na Mapadre wapo kanisani sasa kimbia uwafuate maana ukitimliwa ubunge hatutakupa maana unaonyesha kuwa upo irresponsible.=)
 
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani?

Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais


gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX
Madame B Menthor madame A Kongosho
mimi49 Heaven on Earth Smile Nazjaz charminglady
Passion Lady Lady doctor mdida DEMBA sister
Jawilat Ablessed
watu8 The Boss Mshinga
Himidini Mashaxizo nanjilinji
Eiyer Broken soul pinno tpaul etc

Sawa kabisa mwenyekiti ila kuna huyu pinno mcheki mcheki ni kijana wangu tumpitishe ndio maisha kusaidiana kiongozi yani ni wa dada yangu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mimi yangu imwendee Lara 1 kwani ni mzuri wa argument, msomi "aliyebobea" MBA holder now anapambana na PhD uko ulaya...tatizo lake ni Pesa tu...maana yeye kila kitu ni pesa mezani
 
Sista,mbona hao wengine ni wanaume?.( watu8,, Menthor)

Wanaume pia tunaruhusiwa kuchagua(kupiga kura)?
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhhh!

Mhhhhhhhhh! Tusiwe bendera fata upepo ILA VIWEKWE VIGEZO ILI MSHINDI APAIKANE KWA HAKI!!!!!!!

1. Awe amaeanzisha THREAD ZAKE MWENYEWE nyingi au hata KIASI tu na zika HIT often!!!!!!!!(SINA MPINZANI KIPENGELE HIKI hata Dada Asha mwaka huu hujanikuta. LOL!)

2. New member aliyeingia na kuvumaaa ndani ya mda mfupi. (Nampa Heaven on Earth kwa mwaka huu! Kajitahidi!)

3. Michango ya Kujenga na kuendeleza mwaka mzimaa nampa gfsonwin, Kaunga, kingasti, Snow White, Mamdenyi, Kongosho

4. Outstanding Contibutions zilizopata like sanaaa, na kuwaacha watu kinywa wazi na zlikuwa unpredictable n uncalled for hapo ni Lara 1.

5.Life time achievement kwa michago TIMELESS MMU ni ASHA Dii. (Michango yako ina surpass time factor hata mada ya mwaka juzi ukiisma inanoga sio mada Big G)

6.Major come back of a dormant member mwaka huu faiza Foxy katishaaa, karudi na moto uleule aliiondokaga nao.


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom