Mathematics

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
[h=6]TEACHER:IF I GIVE U 2 CATS,AND ANOTHER 2 CATS AND ANOTHER 2, how many will u have?
PAPPU: Seven Sir
Teacher: Let me put it to u this way, If I give u 2 apples,and another 2 apples and another 2, how many will u have?
PAPPU: Six.
Teacher: Good. Now if I give u 2 cats,and another 2 cats and another 2,
how many will u have?
PAPPU: Seven.!!
Teacher: Where the hell do u get seven from?!?!?
PAPPU: Because I already have one at home
[/h]
 
hahaaa mweee.. kijana ana akili sana huyu

Na ndio maana hakujulisha na yule wa jilani yao
kwakua mwalimu alisema nikikupa wewe (yeye)!
then akapiga hesabu kuwa atakuana jumla ya paka 7
 
tatizo la walimu ni kwamba wanataka uwajibu wanachokiamini wao tu, na ndo maana watoto wenye akili kama huyu hujikuta wamefeli, ila hapa dogo kampa kitu heavy teacher
 
ha ha haaaaaaaa........
Huyu yeye aliulizwa: 5+5=? Dent alikawia kujibu, mwalimu akamwambia ajumuishe vidole vya mkono wa kulia na kushoto mtt akajibu 12, kila akiambiwa ajumlishe vidole apata jawabu 12.
Mwalim kwa hamaki: hem weka mikono hapa kwenye desk tuhesabu wote
Mtt kuweka mikono juu ya desk, kumbe ana vidole 6 kila mkono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom