Kula mnyama alie pigwa risasi

Kula mnyama alie pigwa risasi

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Wapendwa wa jamiiforums eti kula mnyama alie kufa kwa kupigwa risasi ni hatari kwa matumizi kama mboga ?
 
Kwani wewe vegetarian?

Kimwingiacho mtu si najisi ila kimtokacho! Kula nyama mwanawane!
 
Bora umenitia moyo maan huku tumekua tukitumia nyama pori kama chakula pamoja na mboga si unajua mipaka yetu bwana
 
Kula mkuu mm nimekula mpaka sasa nakula kwa hiyo wewe kula acha woga
 
Jamani hivi ile mizozo ya kuchinja haikuhusiana na wanyama pori? Maana huko kwenye mabucha ilikuwa patashika.
 
Nyi ndio mnaletaga dini kwenye mboga nyie,ina maana mpaka nyama pori wanataka kuiharamisha au walishaiharamisha............
 
Back
Top Bottom