Oooh! Baby, my Baby...
oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile
you tell me kuchi kuchi ah
i understand
you tell me kuchi kuchi ah
Naupenda sana huu wimbo...
Hong Kong Billionaire Doubles Reward To $130 Million for Any Man Who Can Make Lesbian Daughter Straight
One thing that parents should learn is that money cant buy love for your daughters...
Hii zamiazamia ya shughuli za wenyewe always kuna gharimu, kama si kufedheheka .
Katika semina iliyokua ikiendelea katika ukumbi wa chuo cha Benki Capri point mjini hapa majuzi kati , Palizuka...
Ikitokea umebanwa sehemu,na unatakiwa kuadhibiwa,ila inaruhusiwa adhabu yako ifanywe na member mwingine ungependekeza nani aifanye kwa niaba yako
Mfano wa Adhabu hizo ni
<Bani ya Milele
<Bani...
DOGO: Mama hivi binadamu walitokea wapi?
MAMA: Kwanza kulikuweko na Adam na Hawa. Hawa ndio walikuwa wazazi wa kwanza wa binadamu, wakazaa watoto na watoto wao wakazaa ndio mpaka dunia ikajaa...
Wadau Kuna Kikuku kilitangazwa na Mtambuzi kuwa mwenye kukiona mbaka lara 1 anatangaza kuisha kwa shughuli kikuku kilikuwa akijatangazwa kupatikana na pili mwenye nacho akufahamika tunaomba...
Semina Ubungo Plaza... watu wakaanza kujitambulisha, Wa kwanza: Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. Wa pili: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION. Wa...
Kwa kweli ni majanga yame zikumba familia zetu pande za dumila kwa mafuriko yaliyopo hapa dumila kwakweli inasikitisha sana kwani ni mamia ya familia hazina makazi sababu ya maji.Kibaya zaidi...
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
Kifo kilimtembelea Jamaa mmoja mambo yakawa hivi.
KIFO: Rafiki, leo ni zamu yako, twende.
JAMAA: Ha! Sijawa tayari.
KIFO: Angalia list yangu, jina lako lipo juu kabisa.
JAMAA: Kweli! Lakini...
Man : Habari ya nyina wa Kamau
Woman : *sneers* Mzuri. Wapi Maua?
Man : Ati maua?
Woman : *Slap* Kwani nimesema OMO?
Man : Sasa ni nini nyina wa Kamau?
... Woman : Nimekuuliza wapi maua!
Man ...
Huyu mwanadada maarufu kwa ubakaji insemekana anasambaza ugonjwa wa ajabu huko London.Hii ni baada ya kumuambukiza Mbunge wa Arusha huo ugonjwa wake wa ajabu. Huyu dada ambaye jinsia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.