Watu walijifanya watakatifu kuogopa watarushwa JF.
Sio wote walishindwa kuja sababu ya ubahili miss neddy, wengine waliumwa, wengine wanaishi mbali na dar...wengine majuu, wengine walikuwa na majukumu ya kifamilia ama kikazi....wengine walibanwa na waje/waume zao watimize ahadi ya ndoa...and the list goes on....party ilikuwa bomba sana
TUMEINJOIJEEEEE
Wabahili mmekosa mambo
mambo yalikuwa MWAKE MWAKE
big up zote kwa mtambuzi
na kamati nzima ya maaandalizi
Sio wote walishindwa kuja sababu ya ubahili miss neddy, wengine waliumwa, wengine wanaishi mbali na dar...wengine majuu, wengine walikuwa na majukumu ya kifamilia ama kikazi....wengine walibanwa na waje/waume zao watimize ahadi ya ndoa...and the list goes on....
ahaaaaaaaaaa simaaanisha wote eli waliokuwa na majukumu wanaeleweka
i hope next party tutakuwa pamoja hapa nawarusha roho wale mabahili
Halafu wewe. Wewe wewe wewe
Sio wote walishindwa kuja sababu ya ubahili miss neddy, wengine waliumwa, wengine wanaishi mbali na dar...wengine majuu, wengine walikuwa na majukumu ya kifamilia ama kikazi....wengine walibanwa na waje/waume zao watimize ahadi ya ndoa...and the list goes on....
Wengine tuko broke ile mbayaaa.....
Next time utanisaidia kamchango basi best?
sijambo binamu...niambie!Hujambo binamu