Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,506
- 7,445
Ikitokea umebanwa sehemu,na unatakiwa kuadhibiwa,ila inaruhusiwa adhabu yako ifanywe na member mwingine ungependekeza nani aifanye kwa niaba yako
Mfano wa Adhabu hizo ni
<Bani ya Milele
<Bani ya Miez kadhaa
<Kushitakiwa kwa Uchochezi
<Kuwekwa Kizuizini
Je ungependa nani abebe Msalaba wako
Mfano wa Adhabu hizo ni
<Bani ya Milele
<Bani ya Miez kadhaa
<Kushitakiwa kwa Uchochezi
<Kuwekwa Kizuizini
Je ungependa nani abebe Msalaba wako