MWANAUME : Nataka nijue baby kama kwako niko peke yangu, coz sipendi kabisa kuchangia penzi na wanaume wengine. MWANAMKE : Uwe peke yako kwani we Mungu?..