Naomba mniPM

Naomba mniPM

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Zawadi nono IPO kwa wote mtakao niPM maana sijapata PM kitambo aisee dah

cc Madame B
 
Mentor njoo ufanye moderation huku ya pm zitakazo ingia kwa Nokla....!
 
Last edited by a moderator:
((sijapata P kitambo))

Mkuu kwani wewe ni ke?
 
Jamani naomba msaada, kila nikifungua topic haifunguki inakata Na kurudi Kwenye desplay ya desk top
 
tatizo lako linafanana na langu , ila mimi hata msinitumie hizo PM hivyo hivyo ndiyo safi kiroho safi.
 
Jiandae kuibiwa hiyo zawadi kabla hujaikabidhi kwa mshindi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom