Kifo na binadamu!!!!

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,455
29,134
Kifo kilimtembelea Jamaa mmoja mambo yakawa hivi.
KIFO: Rafiki, leo ni zamu yako, twende.
JAMAA: Ha! Sijawa tayari.
KIFO: Angalia list yangu, jina lako lipo juu kabisa.
JAMAA: Kweli! Lakini tupate chakula na vinywaji kwanza ndo twende, karibu ukae.
KIFO: Sawa.
JAMAA: Kwa siri akamwekea Kifo dawa ya usingizi kwenye kinywaji.
KIFO: Kasinzia.
JAMAA: Kahamisha jina lake kwenye list ya kwanza na kuliweka mwisho kabisa.
KIFO: Alipoamka kamwambia Jamaa,
Rafiki umekuwa mkarimu sana kwangu. Sasa nimeamua kuanza na jina la mwisho! kabisa,duh!

Ama kweli kifo hakikimbiwi.
 
Du!Hiyo kali
 
Ndo mana wanasemaga ukienda haurudi. Kifo alikuwa anamdhihaki tu msela,mida hiyo alishakufa long, yuko kwenye lift kuelekea akhera kwenda kusomewa ripoti ya tume ya uchunguzi wa maisha yake. Na huyu lazima alikuwa na mbonge wa mfaili wa dhambi. Badala ya kuomba Mungu yeye anataka kuchakachua list. Pambaaavu sana!!!
 
Back
Top Bottom