Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,275
Uko safarini kuelekea ukweni kupeleka mahali, wakati unashuka kwenye gari ghafla unakwapuliwa mzigo wenye pesa na vitu vya msingi, unajaribu kumkimbiza lakini anakuacha unaamua kwenda mikono mitupu, baada ya kufika unawasimulia yaliyokukuta, mama mkwe anakwambia ngoja nikamwite baba mkwe wako amelala.Wakati anatoka heee. Unamwona ndiye yule kibaka aliyekukwapua pesa zako na vitu vingine.
Utafanyaje?
Utafanyaje?