Ngurumoi Moja Matata Sana......

Ngurumoi Moja Matata Sana......

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,177
Waheshimiwa niko maeneo ya Mwenge Petrol Station (PUMA) Imegonga Ngurumo moja mpaka ninavyoandika hapa saa hii bado ubongo haujakaa sawa....Nimezaliwa Dar, Nimekulia Dar, Nafanya kazi Dar sijawahi kusikia ngurumo ya radi kubwa kama hii ya leo
 
Mkuu mbona ngurumo za kawaida kwa sie tuliotoka mikoa yenye mvua!! sie kwetu radi ikipiga tunaenda nyikani kuokota uyoga.Vipi ushatoka hapo PUMA mana nami npo hapo hapo.
 
Mkuu mbona ngurumo za kawaida kwa sie tuliotoka mikoa yenye mvua!! sie kwetu radi ikipiga tunaenda nyikani kuokota uyoga.Vipi ushatoka hapo PUMA mana nami npo hapo hapo.
Aisee ulikua ni mkubwa sanaaa...Nishasepa kiongozi niko city centre
 
Aah mm wakati niko mbagala nilisikia sana ngurumo hizo nikahama nikahamia gongo la mboto ndio balaaa kabisa
 
Back
Top Bottom