Hela imeanguka chooni

Hela imeanguka chooni

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
Nina elfu ishirini imeanguka chooni natafuta mtu wa kuitoa, nimpe gawiwo:rolleyez:
 
Ita fundi abomoe choo. Hiyo elfu ishirini ni coins ama choo ni cha shimo?
 
nina elfu ishirini imeanguka chooni natafuta mtu wa kuitoa.nimpe gawiwo:rolleyez:

acha njaa,nipm # yako nikurushie hiyo ela usije pata magonjwa bure
 
Hesabu maumivu. Jema ni kwamba umepata uzoefu utakuwa mwangalifu uendapo msalani tena.
 
Hebu fafanua mkuu,choo gani?isijekuwa choo chako mwenyewe
 
Back
Top Bottom