B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
Wakuu habari za mchana...kwa wale wanaoishi dar es salaam na kuhali hiki cha hewa basiri raha mustare na kama mko pea pea basi ndo burudani.nisilete story nyingi niingie kwenye mada niliotaka kungea....hivi kumbe jinsi unavyo mlaza mtoto akiwa mdogo ndo jinsi aunavyo weza kumfanya akawa na wowowo au akawa flat screen.je waku msha wai kuskia hilo.yote hii imekuja baada ya mdada mmoja nafanyanae ofisi kutaniwa na mwezake kwamba anazidi kunenepa makalio...ndo katika kumjibu tukakuta tunaongelea hiyo mada na watu waksema kama ukimlaza mtoto na mgongo mda mwingi lazima hata kuwa na kalio kubwa