Arsenal

Arsenal

Lincon

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
465
Reaction score
112
kuangalia mpira na wanawake ni stresi tupu kwa maswali yao.

Mwanamke: Baby Yule Ni Chris Brown?
Jamaa: Hapana Anaitwa Theo Walcott
Mwanamke: Hee... Ile Ni Kadi Ya Njano Ni Ya Nini?
Jamaa: Ni Onyo Tu Kwamba Kafanya Kitendo Kibaya, Akionyeshwa Nyekundu Anatoka
Mwanamke: Na Ya Kijani Je?
Jamaa: Hamna Za Kijani
Mwanamke: Nataka Arsenal Ishinde Kombe La Dunia
Jamaa: (Kimya)!
Mwanamke: Yule Mzee Ni Nani?
Jamaa: Arsenal Wenger
Mwanamke: Okay! Kwa Hiyo Na Yule Mwingne Ni Mancheter Wenger?!

Kama Ni Wew Hapo Utamjibu Nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom