kuna member mwenzetu humu anaitwa TATIANA ameadimika sana maana alikua moja ya msaada sana katika kuclerify some of issues kokote alipo au kwenye jukwaa lolote kama yupo aje maana unaweza kuta anaumwa
Yani daaaah! Eti unajipikia afu unakula mwenyewe haaagh hata chakula hakinogi jamani yani sishibi kabisaaaa.!! peke yako peke yako tu utadhani upo jehanam ...
Ndio kama hapo juu,utaratibu ndio upi jamani mi natokea mwanza naenda dar na cjawahi kupanda,vp kuhusu mavazi nackia kuna baridi ndani wananwasha air condition,kwa aliyewahi panda jmn tusaidiane
Baba mmoja mtaani kwao alikuwa anamfundisha mwanae wa darasa la tatu hesabu za kujumlisha ili amuongezee uwezo wa kumudu hesabu na kulipenda somo hilo..... Nilikuta mazungumzo yao yakiwa hivi...
Teacher: Madenge kumi ukitoa kumi jibu ngapi?
Madenge: Sijui......
Teacher kwa upole ikabidi ampe Madenge mfano hai...
Teacher: Wewe una machungwa kumi, mtu akaja akakunyang'anya hayo machungwa...
Napenda kuwa huku kwakua ntapata ninachotaka.
Hivi ni sahih kama rafiki ako hana chumba tuseme anaish kwa wazaz au na ndugu sasa akiwa anataka kugegeda akuombe chumba et kisa ni marafiki...
Jamani ee, niko njiani muda huu nakuja Arusha, hebu nielekezeni nyumba za wageni za kiwango cha wastani na mahala zilipo. Maelekezo yazingatie kua mimi ni mgeni katika huo mji.
Mambo ya Billionaire wa Arusha hayo.. Arushaone.
Ndiyo maana mabinti wakali wakali huwa wana sticky kwa jamaa yangu.
Mamndenyi, black woman na Madame B haya mambo mlimwacha nao?
kwa sasa Lady...
JF is back, wenzangu tufahamishane nini kilikuwepo wakati jf iko down.
binafsi hali ilikua ngumu, kuna moderator nilimpigia akaniuliza wewe unanikumbuka wakati wa matatizo tu, Bujibuji Baba V na...
hey guys kama title inavosema..............natafuta mtu aliye willing tubadilishane simu. Mimi nina a jailbroken iphone 3g ya Gb 16 iliyo kwenye hali. Nataka mtu aliye na simu original not mchina...
Wazo la kuleta Ombi hili limenijia baada ya kusoma uzi uliaoanzshwa na member mwenzetu ukihusisha ccm na interahamwe...
Lakini mnivumilie kwanza niwajulie hali, na kisha niwapongeze kwa kazi...
Jamani nimepata kusikia habari za huyu Kitana naasikia anaamiliki kisiwa huko na meli kibao za kusafirisha samaki kwenda Uganda mwenye kujua vizuri detail za huyu mkurya aamwage jamvini
Long...
MKAKA:Hello baby unaiona hii hali
ya hewa?
MDADA: Yaanii
MKAKA: Mi nawasha gari nakuja
kwako Baby
MDADA: Aise ntafurahi kitu, lakini
si unajua leo tarehe ngapi? Siko
vizuri,
MKAKA: Kivipi...
Habari zenu Wana C.C,habari ya kijijini huku.
Huyu Mama V ambae ni Mke wa kigogo mmoja humu ndani amekuwa akinitafuta sana.Namuliza ananitafutia nini Sitaki ugomvi Kibabu chake.Naomba kutoa...
Siku ya jumamosi umeamka unamwita mwanao Anjela Anjela Kimya unaenda kumwangalia chumbani unakuta hakuna mtu.Kwenye kitanda chake unakuta barua yenye huu ujumbe SHIKAMOO BABA NA MAMA siku ya leo...
Tanzania @50 umejiandaaje??
Na ndugu zetu clouds mbona ni zaidi ya TV ya taifa...inakapiga mno hako kawimbo...anyway nakapendaga....
Mwisho namisalimuni...
Binti mmoja mrembo aliaga wazazi wake kuwa anakwenda kutembea kwa rafiki zake basi akapewa ruhusa.
Akiwa njiani simu ikaita akaangalia simu akakuta namba ngeni maongezi yakawa hivi Hallow hivi...