Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Wazo la kuleta Ombi hili limenijia baada ya kusoma uzi uliaoanzshwa na member mwenzetu ukihusisha ccm na interahamwe...
Lakini mnivumilie kwanza niwajulie hali, na kisha niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya kuhakikisha jukwaa liko hewani twente foo seven. Na mwisho niwape pole kwa changamoto mnazokabiliana katika utumishi wenu.
Nikirudi kwenye ombi langu ni kuwa; katika kusoma maoni ya mwanzo mwanzo kabisa kwenye uzi nilioutaja hapo juu, nimegundua kuwa ipo haja ya lazima ya kutafuta namna ya ku moderate hasira zetu pia, maana wadau mpaka wanafikia hatua ya kurushiana matusi, tena wakitukana wazazi sio jambo la kupuuzia hata, kidogo, kuna jamaa kwenye uzi huohuo kamwambia mwenzake 'interahamwe mama yako mzazi' ...kweli jamani!
Kwa.kuwa nyie ndo mko field hebu jaribuni kuulizia kama kuna uwezekano wa kuwa na kitufe ambacho ukikibofya huyo unayemjibu anapata some pain, labda inakuwa kama kijishoti fulani cha umeme, au simu inatoa wave ambayo inakuwa kama umechapwa kibao hivi.
Wakuu wangu mods nina imani kuwa kama mtaweza kutuwekea kitufe hiki basi itasaidia sana kupunguza máneno máchafu humu jukwaani, itakuwa mtu akikuboa unamfinya hukohuko aliko na hasira zako 'zinaridhika'.
Naombeni members wenzangu, kama.kuna mwenye idea yoyote ya kusaidia jinsi ya kupunguza hizi stress tusaidiane.
Nawatakia kazi njema.