hey guys kama title inavosema..............natafuta mtu aliye willing tubadilishane simu. Mimi nina a jailbroken iphone 3g ya Gb 16 iliyo kwenye hali. Nataka mtu aliye na simu original not mchina and iwe kidogo kubwa na ya touch screen. If yo interested shuka hapa kwa thread au nicheki kwa 0763969066.