Matajiri wa Mwanza-Kitana

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Jamani nimepata kusikia habari za huyu Kitana naasikia anaamiliki kisiwa huko na meli kibao za kusafirisha samaki kwenda Uganda mwenye kujua vizuri detail za huyu mkurya aamwage jamvini
Long time kulikuwa na Kishimba
Watu wa mwanza tupeni detail za jamaa wanaotesa huko kwa pesa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom