Leo ndo napanda ndege kwa mara ya kwanza mnishauri jmn | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ndo napanda ndege kwa mara ya kwanza mnishauri jmn

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by GREAT VISIONAIRE, Oct 10, 2012.

 1. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ndio kama hapo juu,utaratibu ndio upi jamani mi natokea mwanza naenda dar na cjawahi kupanda,vp kuhusu mavazi nackia kuna baridi ndani wananwasha air condition,kwa aliyewahi panda jmn tusaidiane
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndege Mnyama au JET??
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ukiwa angani, ukichoka kukaa, unaweza kufungua mlango tu, ukatoka nje kupunga upepo. Kwenye ndege raha sana..
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usiwe na wasiwasi, ni usafiri wa kawaida ila kwa kuwa mnaruka angani labda ndio tofauti, hamna baridi ya kutisha ni ya kawaida. Nakutakia safari njema.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  Unapanda ndege??
  Wakikumata watetezi wa haki za wanyama sijui utajibu nini?
  Halafu najiuliza sijui huyo ndege atazaa au atataga?
  Nakushauri usimpande huyo ndege, kama hamu imekuzidia panda punda ni wavumilivu, lakini usipande punda dume, atakupiga mateke kisha atakuchenjia
  Years in therapy can't repair this! - YouTube
   
 6. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  540 fly
   
 7. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Utaratibu ndio upi??! Kwani kuna utaratibu wa mtu akitaka kupanda/kutumia chombo cha Usafiri aombe "utaratibu"?!!

  Anyway, As long as umesha-check in, pale Mwanza Airport, pita ndani subiri na abiria wenzako for boarding.

  Maelekezo mengine, ya kuzima simu(Flight mode), kufunga mikanda utapata huko huko ndani pia Hostess watakusaidia.

  Ni vizuri kujua kama unasumbuliwa na Motion sickness (kwa experience ya Lift/Elevator au Kupita majini)..ukawa na mfuko/omba kwa hostess ili kuepuka ku_puke kwa next passenger to you when taking off or during landing.

  Hesabu masaa mawili from Dept time from Mwanza Airport.

  Safari njema na Karibu D'salaam.
   
 8. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama barid la 22c linakusumbua bora uvae nguo nzito au beba koti.
   
 9. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Napanda 540 sky nilitumiwa nauli na mjomba anakaa dar huko ana hela sana ,
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  nasikia tabora kuna mvua, ombea msije kukwama kwenye tope manake itabidi msubiri mpaka kesho mje kuvutwa na ndege nyingine.
   
 11. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante nikija ntawatafuta
   
 12. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ukisikia kukojoa waambie wakushushe... Uchimbe dawa.
   
 13. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu wala usipae hofu yoyote, cha msingi ni kuuliza tu pale ambapo huelewi, anza na hao wakata ticket, ama hata wanaocheck board pass. (yaani verifyng your ticket wakati unaelekea kusubiri kupanda. watakujibu vizuri tu.)

  Baridi si kivile, unaweza kuwa na tshrt tu, ila standby ukawa na kasweta kakidesign hivi.

  Cha muhimu ni upunguze presha, usiwaze sana kwamba unapanda ndege mar ya kwanza. just wait and enjoy the flight.

  Bon Voyage!
   
 14. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  asante mkuu!nashukuru kwa kunipa moyo maana niliambiwa kuwa kuna kutapika so nikawa nawaza sana
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwani shida iko wapi si kama basi tu? We nenda kaa waiting room, mtaitwa na kupanda kibasi chao hadi kwenye ndege. Ingia kimya kimya kaa bana mkanda usubiri kunyanyuka tu. Pale mnapocheck in utakaguliwa mara mbili kabla ya kuingia kwenye waiting room. Kama una mzigo mkubwa ukisha ukabidhi na kuupima wakakupa ile boarding pass ingia ukaguliwe mara mbili wala usiulize mzigo uko wapi, utakutana nao Dar kwenye mkanda unaozunguka.

  Unaogopa kipupwe kwenye ndege? Wala usiogope ni cha kawa tu na ukitaka unaweza kukizima. Usijifanye mgeni sana hapo airport nenda kwa upole kama mzoefu huku ukipiga chabo (ukiangalizia wengine wanafanya nini). Wakati wa kupaa usijepiga kelele ukidhani utumbo umetoka. Kama ni jioni au usiku wala hakuna shida ila kama ni mchana ukiangalia nje hasa wakati wa kutake off unaweza kuhisi kuzunguzungu. But usijali utazoea tui, bon voyage!!!
   
 16. H

  Haika JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nimecheka sana !!
   
 17. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asingekuchukukulia charter, na hela zake zote hizo anyway we panda tu ukifika dar ni pm nije kukupokea
   
 18. J

  John W. Mlacha Verified User

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hahhaha kweli duniani kuna mambo.
   
 19. J

  John W. Mlacha Verified User

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wakipitisha vyakula na soda usije ukanywa wanauza bei kubwa sana.
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hakikisha haja kubwa huna kabisa manake maji mle ndani ya ndege unaenda kuchota nje na ndoo
   
Loading...