Hongera moderators kwa kazi ndefu

Hongera moderators kwa kazi ndefu

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,954
Reaction score
7,113
JF is back, wenzangu tufahamishane nini kilikuwepo wakati jf iko down.
binafsi hali ilikua ngumu, kuna moderator nilimpigia akaniuliza wewe unanikumbuka wakati wa matatizo tu, Bujibuji Baba V na IGWE niliwakuta pale uyole. welcome back jf.
 
Last edited by a moderator:
yaani niliamini ni jinsi gani i have been affected by hii kitu. ilikuwa chance nzuri kwa wife kupata full attention from me.
 
mi sikupata wa kumuuliza zaidi sana nkajua simu yangu ina wenge,kutumia pc nlivokuta yaleyale basi ikabd niwe mpole...ila nliwamiss sana wana JF
 
mhhhhhh mimi .aiseee siwezi kueleza
jinsi nilivyokosa rahaaa
 
Mwanyasi nipe no. yako siku nyingine jf ikiroga niwe nakupigia cm kupitia kifurushi cha usiku pack tubonge we usiku kucha. maana hali ilikuwa mbaya bana sitaki initokee tena.
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi nipe no. yako siku nyingine jf ikiroga niwe nakupigia cm kupitia kifurushi cha usiku pack tubonge we usiku kucha. maana hali ilikuwa mbaya bana sitaki initokee tena.

Hii kitu itakuja kutuua ujue?
jana nimepata tabu sana, nimeku inbox
 
Last edited by a moderator:
JF is back, wenzangu tufahamishane nini kilikuwepo wakati jf iko down.
binafsi hali ilikua ngumu, kuna moderator nilimpigia akaniuliza wewe unanikumbuka wakati wa matatizo tu, Bujibuji Baba V na IGWE niliwakuta pale uyole. welcome back jf.
Nilikuwa busy na fwefwe yangu.
2+(2).jpg
 
Back
Top Bottom