Madenge ana kosa gani hadi kutimuliwa class

Madenge ana kosa gani hadi kutimuliwa class

Code Breaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
1,019
Reaction score
446
Teacher: Madenge kumi ukitoa kumi jibu ngapi?
Madenge: Sijui......
Teacher kwa upole ikabidi ampe Madenge mfano hai...
Teacher: Wewe una machungwa kumi, mtu akaja akakunyang'anya hayo machungwa kumi..... Utabaki na nini?
Madenge: ( Huku kakunja sura kuonesha uhalisia),...NITABAKI NA HASIRA.....
Teacher: Uje na mzazi wako baada ya wiki mbili....
 
Back
Top Bottom