buku kumi

buku kumi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,529
Reaction score
138,474
yaani ukishavunja buku kumi basi hela yote inaishaaa haikai ...... hatari
 
Wewe ndo umejua hilo leo?? Chezea wazee wa serikali mbili wewe?? Chukua na hizi utumie
 

Attachments

  • 1398514860901.jpg
    1398514860901.jpg
    66.8 KB · Views: 207
Wewe ndo umejua hilo leo?? Chezea wazee wa serikali mbili wewe?? Chukua na hizi utumie
mkuu nazitamani ila kwenye matumizi na mahitaji unaweza shangaa zte hizo zinakwisha......kila unapo lala unatamani kesho isifike yaani kila siku afadhali ya jana
 
Mkuu,ukinunua maharage,unga,mchere,mkaa,mafuta,nyanya,kitunguu,chumvi....daaaa msimbazi kwaheriiii,maisha haya.
 
Back
Top Bottom