Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,527
- 3,345
hum ndan kilam2 mkuu
hvyo wakuu naiman mnakumbuka kuhusu topic ya(mama mkwe anamwezi hana dalili ya kuondoka)
juz tulipanga safari kua anaondoka jpil. sababu mume wa mdogo angu anarudi leo safari
cha kushangaza jana jion ghafla anasema leo anaondoka tukamwambia subiri nauli kasema ninayo hela ya kutosha hvyo leo kaondoka kwanauli yake mwenyewe nahc atakua amefika kwao huko.
asanten kwa walionishauri nami nilienda kumshaur mdogo angu kwahio yale ambayo mama mkwe atakua amefanya kama hili la kuondoka ghafla na kujilipia mwenyewe naul wakat kakaa kwe2 zaid ya mwezi na nusu ATAjiju

Last edited by a moderator: