(Kumamae)dj anapiga nyimbo za dini disco.
Kama vipi tupige story mie nimependa tu kukesha ila hapa wanazingua
My sweeet baby ac yako iko hacked, umeona hilo neno la bracket?
Na mimi sina usingizi bt mkiona kimya mtaniamsha
hata mi sina wapi wanakesha hapa mtaani twende huko?