Hii ni zaidi ya tuko wangapi?

Hii ni zaidi ya tuko wangapi?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
jamaa, alifumaniwa na mke wa mganga. Nyeti zake zikachukuliwa. Ilibidi kesho aende kuomba radhi. Mganga akamletea ungo uliojaa viungo nyeti vya kiume. Jamaa akashindwa kuitambua yake. Ilibidi amlilie mkewe ili akaitambue ishu yake. Walipofika ikawa hivi;

mke akasema ya kwetu ni hii hapa ndogo nyeusi. Hee..hii iliyopinda ni ya jirani yetu.hii ndefu ni ya Padre Robati.Hii nyeupe ni ya mpemba,na hii ni ya docta,na hii ni ya rafiki yako wa TRA,hii ya Aron,,

hizi tatu ni za wale mafundi waliokuja kufunga umeme,na hili kubwa ni la mwalimu wa kwaya yetu.

Jamaa akakata roho..!

TAFAKARI
 
Cookie, Naomba upeleke hii thread jukwaa la Jokes+Udaku please! Inafaa sana huko.
 
Last edited by a moderator:
Hii kwa kweli ni zaidi ya tuko wangapi. Wanaotisha hapa ni mke wa mganga na mke wa jamaa aliyeshikwa ugoni kwani ndio waliopitiwa na umati wote huo. Funny and interesting thread!
 
jamaa, alifumaniwa na mke wa mganga. Nyeti zake zikachukuliwa. Ilibidi kesho aende kuomba radhi. Mganga akamletea ungo uliojaa viungo nyeti vya kiume. Jamaa akashindwa kuitambua yake. Ilibidi amlilie mkewe ili akaitambue ishu yake. Walipofika ikawa hivi;

mke akasema ya kwetu ni hii hapa ndogo nyeusi. Hee..hii iliyopinda ni ya jirani yetu.hii ndefu ni ya Padre Robati.Hii nyeupe ni ya mpemba,na hii ni ya docta,na hii ni ya rafiki yako wa TRA,hii ya Aron,,

hizi tatu ni za wale mafundi waliokuja kufunga umeme,na hili kubwa ni la mwalimu wa kwaya yetu.

Jamaa akakata roho..!

TAFAKARI

Ataacha kukata roho? wakati mwalimu wa kwaya ana mguu wa tatu
 
Back
Top Bottom