Je wewe hulala bila ya nguo ya ndani ukiwa na mke, mume, au mpenzi wako?

zodiac

Senior Member
Oct 13, 2012
109
37
Nauliza hivi sababu hapa mie najiona kama nilivyozaliwa, halafu baada ya mihangaiko yamaisha hujisikia kuwa free kama nilivyozaliwa na pia nashangaa naingia kitandani nakuta mwenza wangu naye kama vile alivyozaliwa! What a coincidence! Namuuliza kulikoni, naye ananiuliza kulikoni, mwishowe tukagundua nguo zinatubana sana sasa tumejikuta wote full kujiachia.

Hebu tupe mazoea yako maana nahisi haya manguo plus majoto dah waweza kuchacha hivihivi unajiona. Hebu sema we umetupia kivazi gani au ndiyo kama sisi? Halafu kama umeoa au kuolewa hapa ndiyo panakuhusu zaidi nyie mnaochakachua najua huwa mnajifichaficha ili makovu ya upele yasionekane na hata ukijiachia huwa unazima taa, wenzenu kwa raha zetu!

Kitumbua na ndizi wazi, kitumbua sio andazi.

Hebu tupia ma-experience ya room!
 
Chukuchuku mpango ndiyo mzima!
Nilale na migwanda , kwani niko behewani nasafiri kwa train? Kitandani mipamba haina maslahi .
 
Back
Top Bottom