JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nlivyoichomeka,mtoto akachomoa.nikaichomeka tena,yeye akachomoa,nikamuuliza kwa nini?akanijibu hajazoea,nikaona sio inshu,nikasubiri akipitiwa na usingizi nichomeka polepole asiweze sikia.basi...
4 Reactions
17 Replies
8K Views
sitasahau kituko hiki, nikikumbuka huwa nacheka peke yangu halafu najishangaa. simu yangu ya kwanza kabisa katika maisha yangu ilikuwa siemens lakini kipindi kile simu ya mkononi tulikuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
¿ozıʇɐʇ ıןıɥ ɐnظnʞ ǝʎuǝʍɯ ɐunʞ uʍop ǝpısdn...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini Leo ni siku maalum ya kukumbuka ambayo hupatikana kwa nadra sana kwa mwanadamu ambaye amezaliwa na mwanamke, siku ambayo Mungu umuandaa mtu akiwa tumboni mwa mama yake na kuumumba. na...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hili jambo la kubeba mikoba mikubwa hasa kwa jinsia ya kike linanitatiza kila mara. Nilipata story moja toka kwa rafiki yangu kwamba g/f wake alimtembelea siku moja akiwa na mkoba mkubwa sana...
5 Reactions
54 Replies
8K Views
Phonebook ya mmama wa kichaga: 1.dokta wa ng'ombe 2.masawe muuza pumba 3.pickup ya majani 4.kijana mkata majani 5.juma muuza vifaranga 6.fundi banda 7.machine ya kusaga 8.muuza maparachichi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukitaka kusahau matatizo yako(japo kwa muda mfupi), vaa viatu vinavyokubana
2 Reactions
53 Replies
14K Views
http://blog.petflow.com/now-this-is-hilarious-i-cant-stop-laughing-can-you-imagine-if-this-happened-to-you/
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kama kawa dj wenu nasmile nagusa moja moja hapa,scatchin,loopin na madiko diko.. hebu pendekeza ngoma (tracks) ambazo hupendi kuzikosa humu clabu pasaka hii....
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Wadau wewe kwa mawazo yako unafikiria nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo na kupunguza shida kwa wananchi? Karibuni sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habhari zenyu.... Mie binafai siko poa jamani... Nina majonzi sana baada ya baba paroko kurestishwa in piece, kesho muda na wakati kama huu kutakuwa na maandamano yatakayoanzia Uwanja wa...
7 Reactions
110 Replies
6K Views
nilisoma kwenye kitabu kinaitwa i was a prisoner in russia. 1. kulikuwa na njaa kali huko ujerumani wakati wa WW2. wafungwa wwakawa wanakufa njaa. kuona hivyo daktari wa gereza akaamuru wafungwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika utoto wangu tulikuwa tukiwa jambisha wazee wa pwani wenye mabusha. Ila mpaka sasa ukubwani nimeshindwa kujua kweli kuwajambisha kunawatesa au ndio walikuwa wasanii wakituyeyusha?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kitu cha ajabu ambacho kwa kweli hata mimi sikielewi, ila tu naweza kusema miujiza inatokea. Binti mmoja alikosea akanitumia vocha ya shilingi 500, usiku ule kaka yake aliyoko...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwel kifo ni adui!! majambazi walivamia benk wakawaambia " watu wote tunaanza kuwauwa kwa alfabet za majina yenu A,B,C,........Z" wakamuuliza meneja : unaitwa nani? Meneja : zosef zabrahamu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kulikuwa na mshikaji mmoja ambaye alikuwa tajiri sana na pia alikuwa mfalme basi akaandaa shindano.Akawaambia Washindanaji mmeona hili bwawa lina mamba mengi basi yoyote atakaye tumbukia humu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
PESA BWANA WEWE ACHA TU Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi// yaani kama vile 'simple' toka nduki toka 'race'// kama risasi ya bunduki au jeti/ no kunyuti no kuketi/ wape nafasi wakushuti kama Malcolm X// usikubali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna maneno kama lol,hahaha,teh teh nk yakiandikwa yanamaanisha mtu amecheka.Sasa kama mtu ametabasamu tunaandikaje?? Kama halipo toa pendekezo lako..
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…