CCM wanakataaje serikali 3? Soma hapa ucheke..

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3, ili upike unahtaji mafiga ma3, kondom kwenye pakti zipo 3, Taifa star kafungwa na burundi goli 3, chelsea kafungwa na atletico goli 3, man city kamfunga everton goli 3, ili angalau uonekane mwanaume halisi goli 3 zinafaa, hat trick lazma ziwe goli 3. Sasa huo uhalali wa serikali 2 unatoka wapi?
 
watanzania bana!!!!! hata dini mnazifanyia siasa...kila kitu ni siasa
 
Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3, ili upike unahtaji mafiga ma3, kondom kwenye pakti zipo 3, Taifa star kafungwa na burundi goli 3, chelsea kafungwa na atletico goli 3, man city kamfunga everton goli 3. Sasa huo uhalali wa serikali 2 unatoka wapi?

Blueteeth ya yellow
 
Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3, ili upike unahtaji mafiga ma3, kondom kwenye pakti zipo 3, Taifa star kafungwa na burundi goli 3, chelsea kafungwa na atletico goli 3, man city kamfunga everton goli 3, ili angalau uonekane mwanaume halisi goli 3 zinafaa, hat trick lazma ziwe goli 3. Sasa huo uhalali wa serikali 2 unatoka wapi?

Utter nonsense watu kama nyinyi hasara kubwa kwa taifa
 
Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3, ili upike unahtaji mafiga ma3, kondom kwenye pakti zipo 3, Taifa star kafungwa na burundi goli 3, chelsea kafungwa na atletico goli 3, man city kamfunga everton goli 3, ili angalau uonekane mwanaume halisi goli 3 zinafaa, hat trick lazma ziwe goli 3. Sasa huo uhalali wa serikali 2 unatoka wapi?
Asante.Inavutia, inachekesha, na inashangaza. Kwa hiyo UTATU ni dhana muhimu kwa tanzania au siyo?Wenye masikio na wasikie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom