Je wajua?

Je wajua?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
nilisoma kwenye kitabu kinaitwa i was a prisoner in russia.
1. kulikuwa na njaa kali huko ujerumani wakati wa WW2. wafungwa wwakawa wanakufa njaa. kuona hivyo daktari wa gereza akaamuru wafungwa wanyolewe nywele kisha ikapikwa supu ya nywele na kupewa wafungwa. alikuwa anatoa protini kwenye nywele.

2.huko siberia baridi sana hadi mabwana jela walikuwa wanaashindwa kudinyana. kumbe baridi inapunguza nyegge tofauti na tunavyojidanganyaga.

3.huko siberia baridi ni kali kiasi ukikojoa umeesimama juu ya stuli mkojo unafika chini umeganda!
ni hayo tu.
 
Huu muda ni mzuri sana wa kupiga chibuku na kutafakari yale ya harusi ya jana vipi yale madege kupita juu na maparachi chi na kutafakari ile harusi ilkuwa bab kubwa na gharama zake na wakati wenye hiyo shuhguli ni masikini yaani dona na mandondo tabu thank you brother
 
nilisoma kwenye kitabu kinaitwa i was a prisoner in russia.
1. kulikuwa na njaa kali huko ujerumani wakati wa WW2. wafungwa wwakawa wanakufa njaa. kuona hivyo daktari wa gereza akaamuru wafungwa wanyolewe nywele kisha ikapikwa supu ya nywele na kupewa wafungwa. alikuwa anatoa protini kwenye nywele.

2.huko siberia baridi sana hadi mabwana jela walikuwa wanaashindwa kudinyana. kumbe baridi inapunguza nyegge tofauti na tunavyojidanganyaga.

3.huko siberia baridi ni kali kiasi ukikojoa umeesimama juu ya stuli mkojo unafika chini umeganda!
ni hayo tu.

Jinsia tofauti zinakaa mahali pamoja?

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/633314-je-wajua-special-thread.html
 
nilisoma kwenye kitabu kinaitwa i was a prisoner in russia.
1. kulikuwa na njaa kali huko ujerumani wakati wa WW2. wafungwa wwakawa wanakufa njaa. kuona hivyo daktari wa gereza akaamuru wafungwa wanyolewe nywele kisha ikapikwa supu ya nywele na kupewa wafungwa. alikuwa anatoa protini kwenye nywele.

2.huko siberia baridi sana hadi mabwana jela walikuwa wanaashindwa kudinyana. kumbe baridi inapunguza nyegge tofauti na tunavyojidanganyaga.

3.huko siberia baridi ni kali kiasi ukikojoa umeesimama juu ya stuli mkojo unafika chini umeganda!
ni hayo tu.
Zote sio kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom