Pesa pesa pesaa

Pesa pesa pesaa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,598
PESA BWANA

WEWE

ACHA TU

Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!
 
Ni Jokes tu lakini inaweza kukuletea matatizo kwa wenye dini yao..teh! teh!
 
PESA BWANA

WEWE

ACHA TU

Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!
Joke nzuri sana ila imeharibiwa na hayo maneno matatu ya mwisho. Kwangu yananiharibia ladha(uzuri)wa joke!
 
PESA BWANA

WEWE

ACHA TU

Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee,? chezea pesa weee!

Umetisha mtoto wa kipemba hahaha
 
Dinazarde. Maneno matatu ya mwisho kwenye joke ni: chezea pesa wee. Maneno haya ni kama conclusion ya joke na yanaharibu utamu wa joke.

Hayaa polee pesa tamuuu lakinii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom