CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habhari zenyu....
Mie binafai siko poa jamani... Nina majonzi sana baada ya baba paroko kurestishwa in piece, kesho muda na wakati kama huu kutakuwa na maandamano yatakayoanzia Uwanja wa Chitchat mpaka Viwanja vya server ya JF kupinga BAN ya baba paroko a k.a Eiyer, sijajua ni sababu ipi imemuweka huko....
Kimsingi mods mngekuwa na huruma, hata baba paroko mnampiga BAN sasa sisi wanaparokia tutalelewa na nani aisee!???
Mbona anafanya kazi ya kuwaombea na wala hamumlipi??
Muwe na huruma aisee... Uuuwiiiii..... Nalia aaaaa Naliaaaaaa$!!!!?!!!?

Last edited by a moderator: