JF night club hoyeeeee!!!

JF night club hoyeeeee!!!

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
kama kawa dj wenu nasmile nagusa moja moja hapa,scatchin,loopin na madiko diko..
hebu pendekeza ngoma (tracks) ambazo hupendi kuzikosa humu clabu pasaka hii....
 
duuu!! kwa mbali namuona ladyfurahia amezima mbaya palee dah na kile kinguo alichovaa sasa!! kweli pasaka hii ina mambo!

afu nasikia Dr Ruge yupo getini anapiga mzinga eti aingie bure daaah
 
Last edited by a moderator:
watu8 vp tena mbona namuona hapa yupo alone khaa si ana mke huyu.....oona anavyopepesa machoo loh
 
Last edited by a moderator:
puuh!! kha kishindo cha nini tenaaa%% haaa maskini namuona YNNAH kadondoka hapa dah maaajabu!! tatizo hvyo viatu alivyovaa sijui kamshauri nani jamani! Erickb52 muinue mwenzako sasa! unaduwaa nini,afu kavue hiyo miwani yako ya jua hukoo
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh,aya lisongeshe na "happy" ya pharrel williums! Legooo
 
haya sasa kwa mbali naona wapendanao haoo wanaingia ni Arushaone na Lady doctor piga keleleeeeee!!

Dah... Waliingia kwa style tofaut

7114693-beautiful-fun-happy-smiling-laughing-african-american-couple-piggyback-playing-in-the-park-woman-hug.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom