Wapi chereko chereko za party?

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,091
2,000
Eheee, Ndo kusema this time hatuparty mweeh mbona sizioni zile shamra shamra zetu, Mwezi June si ndo kesho? au ni full mwaliko hamna mchango now loh nnakiherehere?

Mjue nshanunua skonkodiko za kuingilia Serena sijui Kempisky walah zitanibanaaa. Wapi muzee Mtambuzi na kubwa lenyewe lara 1 mumefulia? Afu mtindo wa watu kutuchakachulia party yetu ooh leo ni wedding day ya nicasmtei tumemwandalia keki watu tunatoa zawadi mara 2 2.

ohoo!! Mentor upo? afu mjue siku ile nilichapwa mwenzenu, nlikula viboko nyiee mana nilishangaa majogoo hayo ndo natinga home dah. Nilikula stiki za kutosha muulizeni babu Asprin nilimuonesha majeraha yangu.

Mkuu Rogie (safari hii sikuachii) wapi missneddy (nataka kumuona your king Excel make sure unambeba) charminglady Elizabethdominic Heaven on Earth Mndengereko Isumbwile Rutashobolwa (dah jina lako gumu asee!) mzee wa ten packs na wengine nlowasahau mpo?

I miss you guys Cheeeerrrrssss!
 
xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,250
Ndo kusema nimewamis sana au? Mxxyuuuu!!! Embu nlale!!

Usisonye mtoto mzuri,mimi bado nipo macho japo hujanitaja kwenye listi yako.Kama vipi tuipange mimi na wewe wakiamka watakuta plan imeisha
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,113
2,000
Eheee!!! Ndo kusema this time hatupartyyy??mweeh mbona sizioni zile shamra! Shamra zeetuu?? Mwezi JUNE si ndo keshooo???au ni full mwaliko hamna mchango now?loh nnakiheree!!?mjue nshanunua skonkodiko za kuingilia SERENA sijui KEMPISKY walah zitanibanaaa!!............. wapi muzee Mtambuzi na kubwa lenyewe lara 1 mumefulia???afu mtindo wa watu kutuchakachulia party yetu ooh leo ni wedding day ya nicasmtei tumemwandalia keki watu tunatoa zawadi mara 2 2 ohoo!! Mentor upo??....afu mjue siku ile nlichapwa mwenzenu,nlikula viboko nyiee mana nlishangaa majogoo hayo ndo natinga home dah!nlikula stiki za kutosha muulizeni babu Asprin nilimuonesha majeraha yangu!!.............mkuu Rogie (safari hii sikuachii)wapi missneddy (nataka kumuona your king Excel make sure unambeba) charminglady Elizabethdominic Heaven on Earth Mndengereko Isumbwile Rutashobolwa (dah jina lako gumu asee!)mzee wa ten packs na wengine nlowasahau mpoo??....I MISS YOUU GUYS!!..... Cheeeerrrrssss!!!!

Mmmmmmmhhhh, hata mie nashangaa aisee, sijui ndo wamehairisssssssha make nshaushona mtupio na high heels nimeandaa toka Ng'ambo! Ngoja tuvute subira
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
bestito kwani kunakuwaga na sherehe au party?

bora ya mie niliyekijijini sasa maana hizo party sijui sherehe nazisoma tu hapa mjengoni

Eheee, Ndo kusema this time hatuparty mweeh mbona sizioni zile shamra shamra zetu, Mwezi June si ndo kesho? au ni full mwaliko hamna mchango now loh nnakiherehere?

Mjue nshanunua skonkodiko za kuingilia Serena sijui Kempisky walah zitanibanaaa. Wapi muzee Mtambuzi na kubwa lenyewe lara 1 mumefulia? Afu mtindo wa watu kutuchakachulia party yetu ooh leo ni wedding day ya nicasmtei tumemwandalia keki watu tunatoa zawadi mara 2 2.

ohoo!! Mentor upo? afu mjue siku ile nilichapwa mwenzenu, nlikula viboko nyiee mana nilishangaa majogoo hayo ndo natinga home dah. Nilikula stiki za kutosha muulizeni babu Asprin nilimuonesha majeraha yangu.

Mkuu Rogie (safari hii sikuachii) wapi missneddy (nataka kumuona your king Excel make sure unambeba) charminglady Elizabethdominic Heaven on Earth Mndengereko Isumbwile Rutashobolwa (dah jina lako gumu asee!) mzee wa ten packs na wengine nlowasahau mpo?

I miss you guys Cheeeerrrrssss!
 
Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,091
2,000
bestito kwani kunakuwaga na sherehe au party?

bora ya mie niliyekijijini sasa maana hizo party sijui sherehe nazisoma tu hapa mjengoni

mweeeh! Pole bana hamia mjini tule bata si unaona maisha yenyewe haya ukienda leba two things envolved!!! Loh!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom