Miss neddy afumwa akijiandaa kumsaliti EXCEL

Miss neddy afumwa akijiandaa kumsaliti EXCEL

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Habari za weekand wanaMMU natumaini wote ni wazima wa afya
Katika pitapita zangu nimegunduwa michepuko inazidi kuboreshwa hususani na wanawake
Rafiki yetu Excel alituaga hapa kuwa anasafiri na amesafiri kweli katuachia shemeji yetu miss neddy cha kushangaza hata wiki bado nimemfumania miss neddy akikata vizibiti mwendo alivyo fungwa na mme wake Excel tayari kw kwenda kuchepuka nje ya ndoa na picha nimepiga hii hapo chini.
ImageUploadedByJamiiForums1399110666.061141.jpg
huu ndio ushaidi miss neddy akikata kofuli alilofungwa na excel tayari kwa kumsaliti
 
Kuna jukwaa la Chitchat, peleka hii makitu huko...
 
usije sa ukaikata hiyo cream kuna bonge la foleni
 
ImageUploadedByJamiiForums1399111200.710090.jpghii ni baada ya usaliti #camera za MMU zememnasa miss neddy akijiachia na njemba hiyo ya jf kana kwamba hana ndoa na excel
 
Mbona unaweka picha za uchi hapa !
 
unge mpm tu kama ilikutouch si yakwake angekupa pia kama ndo hivyo,excel teambamia eti kweli mama la mama miss neddy

Nisingeweza kumpm maana excel ni mshikaji wetu
Sasa sio vizuri akiwepo tunajifanya washikaji
Kasafiri nyumba yake inaunguwa nikae kimya nimeweka hadharani
Ili asirudie tena tabia ya kukata vizibiti mwendo anavyofungwa na mme wake.
 
Last edited by a moderator:

nyumba kachoma mwenyewe we jirani inakuhusu nini,ataeleza y nyumba imeungua ,unajua nani alinunua kiwanja na nani anamiliki mali jirani angalia usela sio kwenye migegedo
 
nyumba kachoma mwenyewe we jirani inakuhusu nini,ataeleza y nyumba imeungua ,unajua nani alinunua kiwanja na nani anamiliki mali jirani angalia usela sio kwenye migegedo

Mimi nimemsaidia kama rafiki tu akishindwa kumrekebisha na kukaa naye kwa mazungumzo ya kina kuhusu tabia hii mbaya
Ni vema ampe talaka na nitamshauri akirudi asifanye hivyo maana akimpa talaka tu wenye uchu wa kuchukuwa madaraka yake ni wengi
Watafanya bonge la sherehe na na kuchukuwa nafasi yake kwa haraka zaidi
Akili za kuambiwa changanya na zako!
 
basi miss neddy ni malaya si ndo tafsiri yako ndo umemwanika ili jf tuone dah umbea huu mi nasikiliZia akirudi Excel
 
Last edited by a moderator:
basi miss neddy ni malaya si ndo tafsiri yako ndo umemwanika ili jf tuone dah umbea huu mi nasikiliZia akirudi Excel

Kama miss neddy malaya mimi sijuwi
Na sijasema hivyo nilichosema kachepuka ndani ya wiki tu baada ya mme wake Excel kusafiri na alifungwa vizibiti mwendo vya haja
Sio tabia nzuri kwa wana ndoa
 
Last edited by a moderator:
Kama miss neddy malaya mimi sijuwi
Na sijasema hivyo nilichosema kachepuka ndani ya wiki tu baada ya mme wake Excel kusafiri na alifungwa vizibiti mwendo vya haja
Sio tabia nzuri kwa wana ndoa

kwahiyo miss neddy hamnazo hajui maana ya ndoa,we jirani ndo unaufamu sana ,ni wapi ulimfuma huyo njemba????????!
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo miss neddy hamnazo hajui maana ya ndoa,we jirani ndo unaufamu sana ,ni wapi ulimfuma huyo njemba????????!

Kigamboni alivyuka bahari kabisa
Kweli njia kuu shida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom