Tumbo la ajabu

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,502
25,467
Jamaa mmoja alikuwa na tumbo kubwa sana mpaka mikono ikawa haifiki kujikuna hasa maeneo ya kwenye kitovu na kwingineko, hivyo ikawa tabu kumuelekeza msaidizi wake ni sehemu ipi hasa inayomuwasha ili amsaidie kumkuna.

Siku moja akaamua kuchora ramani ya dunia tumboni mwake ili iwe rahisi kumfahamisha msaidizi wake amkune wapi, basi ikawa akiwashwa chini ya kitovu utasikia "South afrika panawashaa" juu kidogo "Tafadhali nikune Ujerumani" kushoto kidogo "Argentina please!!
 
ha ha haaa chezea kunenepa wewe hadi unatumia compass and direction.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom