Mshara Jr Happy birthday

Mshara Jr Happy birthday

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Hali zenyu binafsi....

Leo tuungane pamoja kumtakia kila lililo jema ndugu yetu, member mwenzetu, rafiki yetu ndugu mshana jr kwa kutimiza miaka kadhaa...

Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele...

Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu mshana jr

happy+birthday+bible+verse+images.JPG
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday...!
Mola akujaalie umri mrefu.
 
happy birthday to youuuuu....how old ar you now...kila laheri MUNGU akupe maisha marefu.
 
Happy birthday mshana jr Mungu akujaalie umri mrefu hongera sana.
Naona umezaliwa siku moja na ICHANA hongereni sana.
 
Last edited by a moderator:
asanteni wooote kila mmoja kwa id yake mlionitakia happy birthday
 
Waoo!Happy birthday mshana jr,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele!Kumbe leo ndio maana sijaona stori murua toka kwake,,kumbe ni katoto leo hakawezi hata kuongea!Happy birthday kaka!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom