Ni kweli na ndio maana kwenye ile tsunami ya indonesia 2004 binadamu wengi waliangamia lakini wanyama wengi walijua kabla wakakimbia na kuokoka.wanyama wanajua ukweli,wanyama wanajua uhalisia,wanyama wana imani kali,wanyama wanajua mapenzi,wapambanaji na wataftaji hawana kauli ila wana akili,mnyama anajua siri nyingi za dunia,nini ujuacho kwa mnyama??