JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
nikaichukua nikaweka mfukoniiii ILI nikifika nyumbani niifungue niangalie ndani kunaninii SASAA nime iweka MFUKONII nashangaa kila MTU ananiitaaa OYA vipi yani si WADADA.WAKAKA,WA BABA,WA...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Laiti wanaume wa humu ndani wangekuwa mahandsome kama hizi avatar zao wanazoweka.....ingekuwa burdaaaaani kabisa
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Bwana Mola aliichungulia kutoka huko juu kisha akaanza kucheka!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Madem wa kiswahili bwana, yaani uhusiano wiki mbili tu, mara twende nkakuoneshe mama, mara kila baada ya dakika kumi simu hata haelewi hata kama uko kazini, hilo la kuniita mume ndio limenikera...
1 Reactions
90 Replies
9K Views
Unachoona hapa ni Screen Saver tu... ye keshazima.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000. Mbongo: poa anza mambo. Mzungu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi huu muda wa World Cup ni utata sana! Wiki iliyopita niliingia katika daladala mbonji ikanipitia mazima! Baada ya muda konda ananishtua eti anadai nauli ya kwenda na kurudi (madai yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukifika kwa kina che, na ntoto huyu, kiwanja kikali unaambiwa vila, kwa kina ilimhola nako vila, wekeni maksi zenu wenyewe
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Jaman kwa wale wataalam wa Play station FIFA 2014 eti button gani napress nkitaka Suarez ang'ate mtu........?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Harusi za Siku hizi wanakamati na Ma-meds wanakua Ma-X Wetu!! Na kiroho safi wanachanga vizuri na wanacheza sana! Usikosane na X wako Mpendwa...!!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Usingizi umenipaa baada ya kumkumbuka 1. Jirani yangu 2. Mwana Rock City mwenzangu 3. Shemeji yangu C/O beibe nasty 4. Mtani wangu 5. Ndugu yangu Jamani popote uliko naomba walau useme...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Unafahamu hayo? kuwa baadhi ya wanaume huwa wana wasiwasi,hofu na kila aina ya woga pale wanapotaka kumtogoza mwanamke? hasa pale ikwa mwanaume amempenda sana mwanamke huyo?.lakini pia kuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma uongo ulikua mwingi jamani, yaani mtu alikua na uwezo WA kutunga jambo la uongo mpaka likawa la ukweli, ILA kwasasa inahitaji nguvu nyingi Sana kudanganya, mfano tulikua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
daaaah!maisha kweli ni darasa jamani tutake au tusitake,hivi ikatoa babu yako amemtongoza gf,mchumba au mke wako tena kwa ushahidi tosha unahisi utafanyaje au utamshtaki wapi/
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi mgen jaman natafta marafk wakubadilishana nao mawazoo
1 Reactions
10 Replies
2K Views
et kwa mfano nikiwa Play Station nibofye sehem gan ili kumfanya suarez aume m2 meno????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!! Maana kama sielewi hivi........ Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jaman mwenzenu Namzimikia neymer mbaya huyu mchezaj wa brazil yan kila nikimuona network inapotea i hop siku moja nitaonana nae even ma dady he knw abt dat Lazma nionane na neymer I ril like him!
1 Reactions
102 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, baada ya kujiunga humu jamvini mid last year, juzi juzi niliyopost comment nikaona nimepokea like zaidi ya thelathini [30] nami nimetoa tatu [3] nikafikiria kwa makini hivi ni...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Kuna wadau wengi humu wamepotea JF either kwa kutokuwa na access ya Internet or Busy sana,Au wana maisha mapya,au walichokuwa wanakitafuta wamepata, na Wengine ndio vile kupoteza Uhai... na wakati...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom