Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,167
- 907
Wanajamvi huu muda wa World Cup ni utata sana!
Wiki iliyopita niliingia katika daladala mbonji ikanipitia mazima! Baada ya muda konda ananishtua eti anadai nauli ya kwenda na kurudi (madai yake daladala imeenda na kugeuka mimi nipo tu ndani)!! Baada ya mabishano ikabidi nimlipe tu then nicheki ustaarabu wa usafiri mwingine!
Ingawa games za saa saba zimekufa, nimekuwa najiuliza "Hivi ni mimi tu nimekutwa na dhahama ya muda wa World Cup?" Kama unalo la kutuhabarisha, tupia hapa tuone nani kakutana na nini kipindi hiki cha World Cup.