Yani kwa kua babu yangu leo umenigeuka?

Yani kwa kua babu yangu leo umenigeuka?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
daaaah!maisha kweli ni darasa jamani tutake au tusitake,hivi ikatoa babu yako amemtongoza gf,mchumba au mke wako tena kwa ushahidi tosha unahisi utafanyaje au utamshtaki wapi/
 
babu yako huyo ni balaa bado anapiga mzigo?hujarithi hako katabia?
 
Babu anaweza kuwa sio aged sana kwasababu wazee wa zamani wengine wanawatoto na wajukuu zao hivyo unaweza kuwa unalingana na babu yako mdogo !
 
Back
Top Bottom