Jamii forum wanaoongoza kutoa likes ni eiyer [bp] na ladyfurahia

NATTA WITO

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
229
96
Habari wanajamvi,

baada ya kujiunga humu jamvini mid last year, juzi juzi niliyopost comment nikaona nimepokea like zaidi ya thelathini [30] nami nimetoa tatu [3] nikafikiria kwa makini hivi ni kwamba wanajamvi wenzangu hakuna wanaotoa mchango wa knigusa na hata kuona wametumia upeo wa hali ya juu kaika kuchangia mada mbali mbali? Nkagundua ni ubinafsi tu au kukosa kuencourage wana jf pale wanapofanya vema.

Ndgu zangu utafiti wangu umeonesha wanajamvii wanaoongoza kwa kuvalue wachangiaji wenzao humu ndani ni eiyer (baba paroko [bk]) na ladyfurahia, kama ww huna wivu tupia neno ukiwapa hongera zao lkn pia ukianza kuiga tabia yao njema kwa kila anaye kugusa ktk kuchangia thread humu ndani

kama kuna aliesahaulika pia c mbaya kumworohesha kwenye huu uzi ili apate credit ili kuthamini michango ya watu

nb: Naamni likes ni kwa mchango uliokugusa na c kila mchangiaji anapewa,

ahsanteni naomba kuwasilisha mada, karibuni
 
Ni vizuri kama umeligundua hilo kwamba na wewe mzito kutoa likes kwa wenzako sasa anza na mimi kwa kunigongea like hapo.,bila kusahau kuwapa big up zao..Kwa mkuu hao watajwa.,
 
sifa za kijinga hizo...

Hata kuongoza au kuwa wa mwisho kutoa like inaongelewa!! Noma sana

jitazime mkuu toka 2011 umetoa 34 wenzio wamekupa 228 naamini wanaokupa c wajinga pengine hujui umuhimu wa walioiweka hiyo feature ndo maana unasema ni ujinga! Jitathimin uone unamshinda nani humu lengo ni kubadili tabia za watu wathamini michango ya members wanapokugusa kwa mchango wenye akili
 
Hata reputation power pia mjifunze kutoa wakuu! sio likes tuuu kila wakati! hahahaaa!!

Haya ngojeni niwafundishe jinsi ya kutoa reputation power,

1. Angalia kitufe cha send pm. pembeni yake mkono wa kulia hivi kuna kiduara kidogo cheusi,

2. kibonyeze hicho kiduara, kibox kitainuka hivi, chagua approve,

3. baada ya kuchagua approve, andika kaujumbe kidogo tu jinsi ulivyopendezwa na post uliyoiongezea reputation (mfano hapa nilipoelezea.... ''this is wonderful'' lol), mwisho,

4. maliza kwa kubonyeza add comment mara moja tu utakuwa umemaliza!

Siku njema wakuu..!

cc. Heaven on Earth, Mamndenyi, Eiyer, kiwatengu, uran, Passion Lady, Khantwe, miss chagga, Arushaone, BAK, farkhina na wengineo...! reputation request, lol!
 
Last edited by a moderator:
hata reputation power pia mjifunze kutoa wakuu! Sio likes tuuu kila wakati! Hahahaaa!!

Haya ngojeni niwafundishe jinsi ya kutoa reputation power,

1. Angalia kitufe cha send pm. Pembeni yake mkono wa kulia hivi kuna kiduara kidogo cheusi,

2. Kibonyeze hicho kiduara, kibox kitainuka hivi, chagua approve,

3. Baada ya kuchagua approve, andika kaujumbe kidogo tu jinsi ulivyopendezwa na post uliyoiongezea reputation (mfano hapa nilipoelezea.... ''this is wonderful'' lol), mwisho,

4. Maliza kwa kubonyeza add comment mara moja tu utakuwa umemaliza!

Siku njema wakuu..!

Cc. heaven on earth, mamndenyi, eiyer, kiwatengu, uran, passion lady, khantwe, miss chagga, arushaone, bak, farkhina na wengineo...! Reputation request, lol!

hayo niyo mambo mkuu! Kuna member wanafikiri ukiona gari au ukishalipanda bsi huna haja kujua linavyofanya kazi tena maadam umekalia seat tayari ww bora ufike tu yatosha
 
haya mkuu, toa reputation basi na wewe, fuata step nilizokuonesha hapo juu!
 
Hata reputation power pia mjifunze kutoa wakuu! sio likes tuuu kila wakati! hahahaaa!!

Haya ngojeni niwafundishe jinsi ya kutoa reputation power,

1. Angalia kitufe cha send pm. pembeni yake mkono wa kulia hivi kuna kiduara kidogo cheusi,

2. kibonyeze hicho kiduara, kibox kitainuka hivi, chagua approve,

3. baada ya kuchagua approve, andika kaujumbe kidogo tu jinsi ulivyopendezwa na post uliyoiongezea reputation (mfano hapa nilipoelezea.... ''this is wonderful'' lol), mwisho,

4. maliza kwa kubonyeza add comment mara moja tu utakuwa umemaliza!

Siku njema wakuu..!

cc. Heaven on Earth, Mamndenyi, Eiyer, kiwatengu, uran, Passion Lady, Khantwe, miss chagga, Arushaone, BAK, farkhina na wengineo...! reputation request, lol!

Haya bana

Tumekusikia!
 
Mkuu, kwangu mbona hakpo jmn

Ndo dawa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom