zamani uongo ulikua mwingi

zamani uongo ulikua mwingi

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Miaka ya nyuma uongo ulikua mwingi jamani, yaani mtu alikua na uwezo WA kutunga jambo la uongo mpaka likawa la ukweli, ILA kwasasa inahitaji nguvu nyingi Sana kudanganya, mfano tulikua tunadanganywa kua, nyerere alikua na mtambo wake huo ambao ukimtaja Tu unasikika mpaka ikulu, basi watu wakawa wanaogopa hata kumzungumzia vibaya wasisikike, nimemiss Sana miaka hiyo..
 
Huo haukuwa uongo bali ujinga na kukosa maarifa,kwasasa uongo ndio umekithiri na kushamiri mno
 
Mkuu Kuna mstari mwembamba Sana baina ya ujinga na uongo, zamani ujinga ulikuwepo na uongo mwingi
 
Back
Top Bottom